Lesson 17:
Warm-Up
| mpira wa kimarekani | American football |
| uwanja wa mpira wa wavu | volleyball court |
| uwanja wa gofu | golf course |
| kupiga mbizi (kuruka kwenye maji) | diving |
| mazoezi ya mwili (mazoezi ya viungo) | exercise, working out |
| kunyanyua vyuma | weight lifting |
| kuruka chini | long jump |
| kuruka juu | high jump |
| kazi ya kujitolea | volunteer work |
| sehemu ya kucheza mpira wa magongo | a place to play hockey |
